1 Samuel 13:13

13 aSamweli akasema, “Umetenda kwa upumbavu. Hukuyashika maagizo ya Bwana Mwenyezi Mungu wako aliyokupa. Kama ungelitii, angeudumisha ufalme wako juu ya Israeli kwa wakati wote.
Copyright information for SwhKC